Kuanzia mavazi ya kuvutia ya voliboli hadi mavazi maridadi ya kuteleza, hafla ya mwaka huu - katika mji mkuu maarufu wa Ufaransa - imeitwa "Olimpiki ya mtindo". Haya ni baadhi ya mavazi ...
Mzozo umezuka kwenye jimbo la Kerala kusini mwa India baada ya shule ya serikali kuwaruhusu wanafunzi wasichana kuvaa suruali. Manafunzi Sringi CK alisubiri akiwa kwenye kituo cha usafiri akisubiri ...
Katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kuwania kikombe cha klabu bingwa barani Ulaya Champions League Real Madrid dhidi ya Manchester City zimetoka sare ya moja kwa moja. Katika kandanda, michezo ...
Ufaransa imeshindwa kutamba mbele ya Uholanzi baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana. Ufaransa ilicheza bila ya nyota wake Kylian Mbappe ambaye ni majeruhi aliyekuwa akiitiazama mechi hiyo akiwa ...
San Pedro, Cote d'Ivoire – Bao la mshambuliaji wa Leicester City, Patson Daka dakika ya 88, alilounganisha kwa kichwa kutoka kwa kona ya Clatous Chama lilitosha kuwanyima Taifa Stars ushindi wao wa ...
Katika hali ya kusisimua na ya kipekee, timu ya taifa ya Sudan ilirejea uwanjani kwa mechi ya kimataifa kwa mara ya kwanza baada ya kipindi kirefu cha sintofahamu ya kisiasa na kukosekana kwa ligi za ...