Bunge la Kaunti ya Nairobi nchini Kenya limeidhinisha sheria ya nidhamu na usafi wa umma, hali itakayoweza kusababisha wale watovu wa nidhamu na waliokosa ustaarabu kujikuta pabaya. Wanaopatikana ...