Watu waliozaliwa tarehe 29 Februari huwa na mvuto fulani kwa sisi - yaani, karibu sisi sote - ambao siku zao za kuzaliwa huja mara moja kwa mwaka. Wanapojiandaa kusherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa ...
Je, inakuwaje kuweza kusherehekea siku yako ya kuzaliwa mara moja kila baada ya miaka minne? Usiwaonee huruma wengi wanaoitwa 'waliozaliwa katika miaka mirefu ama ya 'kurukaruka' wanasema kuna kitu ...