Msikilizaji Rais wa Kenya, William Ruto, ameendelea kusisitiza azma ya kuifanya nchi yake kuwa Singapore ya Afrika, suala ...
Nchi hii ya Afrika Mashariki imeimarisha uhusiano wake na China, huku Rais William Ruto akifanya ziara ya kiserikali Beijing mwaka jana, ambapo mikataba kadhaa ya ufadhili na ushirikiano ilisainiwa.