Ambwene Mwasongwe ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania, aliyejizolea umaarufu kutokana na nyimbo zilizojaa simulizi za Maisha na kubadili mitizamo kuhusu Maisha, Ungana na Steven ...